MARASHI

PLAN YOUR WORK AND WORK ON YOUR PLAN BUT, WHEN YOU FAIL TO PLAN, YOU PLAN TO FAIL

Tuesday, July 31, 2012

DK SHEIN UNGESAFIRIA BOTI NA WEWE UKAONJA MACHUNGU YA WANANCHI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba akiwa katika ziara maalum ya Mikoa ya Kusini na Kaskazini Pemba.

JK ASHIRIKI MAZISHI YA SHEMEJIYE HUKO LINDI

   
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika mazishi ya shemeji yake, Marehemu Amani Kinyozi, katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi. PICHA NA IKULU.

ZAZIBAR 'KUSHNEI': VIONGOZI WAISALITI NCHI, ROHO ZA WAZANZIBAR ZAFANYIWA PUBLICTY KAMPUNI ZA POMBE

Makamu wa pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ally Iddy akipeana mkono na Makau wa rais wa ZFA, Kassum Suleman. 

  
Meneja Masoko wa Kinywaji cha Grandmalt, Fimbo Buttalah (kulia) akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Ally Iddi mfano wa Hundi yenye thamani ya Shilingi milioni tano kama sehemu ya Rambirambi zilizotolewa kwa pamoja kati ya Grandmalt ambao ni wadhamini wa Ligi kuu ya Zanzibar.