Wanafunzi wa Shule za Msingi Ndugumbi na Mwalimu Nyerere, Magomeni, Kinondoni jijini Dar
es Salaam, wakiandamana katika Barabara ya Kawawa, kushinikiza
Wakala wa Barabara wa Serikali (TANROADS), kuweka matuta barabarani,baada ya wenzao wawili kugongwa.
No comments:
Post a Comment