Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk Asha Rose Migiro, katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Tume ya Kurekebisha Sgeria Tanzania, alipofanya ziara fupi katika ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam. Picha zote na Salim Said.
Fred Mpendazoe na mpinzani wake Rachel Mashishanga wakiwa katika mkutano wa viongozi wa Chadema wa Kata nane za jimbo la Segerea kumchagua, mgombea wa ubunge kupitia chama hicho. Picha na Salim Said