HABARI VIPANDE VIPANDE!!!!!
Kwa mujibu wa habari tulizozipata muda si mrefu kutoka visiwani Zanzibar zinasema kuwa mhadhiri wa masuala ya Development Studies katika chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mwanasheria wa kujitegemea Profesa Haroub Othman amefariki usiku wa kuamkia leo visiwani Zanzibar.
Tutawaletea habari zaidi kuhusu msiba huo ikiwa ni pamoja shughuli na maandalizi ya mazishi
No comments:
Post a Comment