Waziri wa kwanza wa Sheria na Katiba wa Tanzania Hassan Nassor Moyo akionyesha nyaraka muhimu za mkataba wa muungano zilizosainiwa na Karume na Nyerere ukiwa na mambo 11 tu, mbele ya wanahabari katika hoteli ya bwawani ZNZ juzi.
Kulia ni mratibu wa mkutano wa Mzee Moyo na Wanahabari, Salim Said Salim. Katika mkutano huo Moyo alisistiza kuwa huu ni wakati wa muungano wa Mkataba akiamini nchi kwanza chama baadae.
Baadhi ya wanahabari, wanasiasa, wasomi n.k wakiwa wamefurika katika ukumbi wa Bwawani mjini ZNZ kumsikili Mwana-CCM mkongwe Hassan Nassor Moyo akitoa msimamo wake juu ya Muungano na Katiba mpya.
No comments:
Post a Comment