wanafunzi wa kidato cha tatu wa Kilangala wakiwa katika umbo la duara kutoa maoni yao kwa wanahabari kuhusu walimu wa kijapani. waandishi wa habari wakimkong'oli maswali mwalimu Mukuno kutoka Japan.
Walimu wa kijapani wakiwa katika evaluation workshop na walimu wa kibongo Wanafunzi wa kidato cha tatu wa shule ya Kilangalanga wakiuza sura kwa Mlimani TV na mwalimu wao Kenji Tsukane Mwalimu Mukuno akitoka darasani
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Waislaam Morogoro, Hajat Mwantumu Malale katikati, akiwa na wakuu wenzake wa vyuo mbalimbali nchini Tz katika hafla ya kukabidhiwa Chata ya kuruhusiwa kuenelea kutoa huduma za elimu ya juu nchini. Picha nyingine zinamuonyesha Hajat Malale akikabidhiwa chata hiyo na Rais Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.