MARASHI

PLAN YOUR WORK AND WORK ON YOUR PLAN BUT, WHEN YOU FAIL TO PLAN, YOU PLAN TO FAIL

Tuesday, August 17, 2010

DUUH! HATARIII

Picha mbalimbali zikiwaonyesha baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Maliasili na Utalii na waandishi wa habari, wakicheza na nyoka mla watu aliyekuwa amepotea, mara baada ya kupatikana hivi karibuni. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana ni kwamba chatu/nyoka huyo alipatikana baada ya ushirikiano wa dhati baina ya wafanyakazi hao na waganga wa jadi.



Sunday, August 15, 2010

HIVI NDIVYO CHARLES MWERA ALIVYOHAMIA CUF

Karibu CUF Babu, mimi naitwa Juma Duni, AKA Mjelajela.
Hii itakuwa kadi yako ya uanachamaee!
Sasa nakukabidhi haki
Usiwe na wasiwasi, jisikie uko nyumbani tu, hujapotea njia babu

Friday, August 13, 2010

BANDARI KUU YA MKOANI KISIWANI PEMBA




BANDARI KUU YA MKOANI KISIWANI PEMBA

Meli kongwe ya Serikali ya Mapinduzi ya ZNZ, MV Maendeleo ikiokoa jahazi la kubeba abiria na mizigo kati ya Unguja na Pemba, baada ya meli pekee iliyokuwa ikitegemewa na wafanyabiashara na wasafiri wa visiwa hivyo, MV Serengeti Kuungua moto miezi kadhaa iliyopita. Hata hivyo, sina imani na usalama wa MV Maendeleo.





FERY DAR
FERY DAR
HAPA NI FERY DAR, SEHEMU YA CHINI AU PWANI
FERY DAR

FERRY DAR

SEAGULL IKAKATA MAJI KUINGIA ZNZ